Unordered List

Definition List

Vj Penny Aonyesha Pete Ya Uchumba!


Mtangazaji maarufu bongo VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz amechumbiwa!

Kupitia Instagram Penny ameweka picha akiwa amevaa pete ya uchumba.

Hivi juzi Paparazi ilisikia kuwa Penny amechumbiwa ingawa haikupata habari kwa kina mpaka Penny mwenyewe alipoweka picha Instagram inayoonyesha ameshachukuliwa tayari ingawa haijajulikana amechumbiwa na mwanaume gani.

Vj Penny ameandika "Road trip..........site here we come....Cc @HalimaKimwana1"

Kwa upande mwingine nako kunasema kuwa mama Diamond amesema kuwa ni lazima Diamond amuoe Wema Sepetu. Inadaiwa mama Diamond ameyasema hayo juzi katika birthday yake ambapo alizawadiwa gari na Diamond ambaye hakuwepo nchini lakini Wema alikuwepo kwenye shughuli hiyo.
Vj Penny Aonyesha Pete Ya Uchumba! Vj Penny Aonyesha Pete Ya Uchumba! Reviewed by Unknown on Friday, July 11, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.