Unordered List

Definition List

Vj Penny: Nimezaliwa Na Dini Mbili, So Msishangazwe Nikiwa Nafunga

MMTANGAZAJI wa Redio EFM aliyewahi kuanguka kimahaba na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amewafungukia wanaomshangaa kuhusu kufungamwezi wa Ramadhani na kuwataka watu hao wasimshangae kuhusiana na jambo hilo.

Akifafanua ishu hiyo mbele ya mwandishi wetu, staa huyo alisema kuwa amezaliwa katika familia yenye dini mbilijapokuwayeye ni Mkristo, lakini hufunga Ramadhani na Kwaresma sambamba na kusheherekea sikukuu zote kwa kuwa familia yao huamini Mungu ni mmoja.
Vj Penny: Nimezaliwa Na Dini Mbili, So Msishangazwe Nikiwa Nafunga Vj Penny: Nimezaliwa Na Dini Mbili, So Msishangazwe Nikiwa Nafunga Reviewed by Admin on Thursday, July 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.