Unordered List

Definition List

Queen Elizabeth II aPhotobomb Katika Commonwealth Games

Kwa wale wasiofahamu photobombing ni kuwa unajiingiza kwa nguvu kupiga picha ambayo haujaalikwa....mastaa wengi washajaribu mtindo huu ikiwemo moja Lupita Nyong'o ashawahi kupiga.

Ok hii kali, kando na kuitwa Queen of England, Queen Elizabeth ameifahamisha ulimwengu kuwa yeye ni Queen of Photobombing.

Hapo nyuma wamuona Queen Elizabeth II akipiga pinafsi pamoja wa wanariadha wa Australia.

Huku hii picha ikisambaa kwa utandao kama virusi, Liz II amekuwa akisaprize baadhi ya wanariadha katika ziara yake huko.

Queen Elizabeth ni nyanya aliye na miaka 88 sasa.
Queen Elizabeth II aPhotobomb Katika Commonwealth Games Queen Elizabeth II aPhotobomb Katika Commonwealth Games Reviewed by Admin on Friday, July 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.