Unordered List

Definition List

Ray C Kwa Mara Ya Kwanza Afunguka Kumjibu TID


Baada ya kukaa kimya kufuatia kutukanwa na TID kupitia mtandao wa Instagram, Ray C amemjibu staa huyo.
Ray C

“Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu! mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema…………(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa,” ameandika Ray C.

Ray C ametoa kauli hiyo baada ya siku kadhaa zilizopita TID kumtukana baada ya kucomment kwenye post yake: Come let’s talk Tid ur the best musician in east Africa pls lets talk @tidmnyama.” Hata hivyo Ray C hakufafanua anataka waongee kuhusu jambo gani na TID.
TID alijibu: “Bi*ch leave me alone am not ur type also I don’t need shit from you,ur mistake is yours nakuomba can u jus f*ck off,help ur boyfriend,I have never liked you,full stop,”.
Ray C Kwa Mara Ya Kwanza Afunguka Kumjibu TID Ray C Kwa Mara Ya Kwanza Afunguka Kumjibu TID Reviewed by Unknown on Wednesday, July 09, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.