Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Na Mamake Diamond Platnumz Uso Kwa Uso Katika Bethday Yake

Mara kadhaa mama Wema Sepetu alikaririwa akisema hamkubali Diamond kuwa katika uhusiano na mwanae. Na kwa upande mwingine habari  zilidai mama Diamond hamkubali Wema bali anamkubali VJ Penny. 

Sasa basi  jana ilikuwa  ni birthday ya mama Diamond ambapo Wema ameweka picha katika mtandao mmoja wa kijamii akiwa  amekumbatiana  na  mama  Diamond  kuonyesha  kuwa  hakuna  ugomvi  tena  kati  yao.....

Picha  hizo  ziliambatana  na  ujumbe  huu:
"today is this amazing woman's birthday...naanzaje kutokumpenda na kumtakia kila lenye kheri mama'ngu kipenzi ...Mungu akutangulie mummy....akuweke na azidi kukufungulia milango ya baraka mzaa chema wangu.....love you mama'ke"
Wema Sepetu Na Mamake Diamond Platnumz Uso Kwa Uso Katika Bethday Yake Wema Sepetu Na Mamake Diamond Platnumz Uso Kwa Uso Katika Bethday Yake Reviewed by BkuHabari Admin on Tuesday, July 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.