Unordered List

Definition List

Khadija Kopa Kufanya Kolabo Na Diamond Platnumz, Azindua Albamu Mbili


Malkia wa Taarab, Khadija Khopa anatarajia kuachia album zake mbili ‘Lady with Confidence’ na ‘Kantangaze Akutangaze nani wakati hata mtaa wa pili hujulikani’.

Akizungumza na Enewz ya EATV Khadija alisema anatarajia kuzizindua album hizo mpya mbili na pia anajiandaa kuizindua bendi yake maalum kwa ajili ya watoto wake ambao nao watakuwa wakiimbia kwenye bendi hiyo.

Pia katika hatua nyingine Khadija, ameweka mipango yake wazi ya kufanya kazi na wasanii mbalimbali wa miondoko ya muziki wa Bongo flava wakiwemo Ommy Dimpoz, Diamond, Ali Kiba, Cassim Mganga, Chidi Benz na wengine baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhan kuisha.
Khadija Kopa Kufanya Kolabo Na Diamond Platnumz, Azindua Albamu Mbili Khadija Kopa Kufanya Kolabo Na Diamond Platnumz, Azindua Albamu Mbili Reviewed by Unknown on Sunday, July 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.