Unordered List

Definition List

Ile Picha Ya Diamond Platnumz Akiwa Kipara Ni Uzushi Wa Photoshop

bkuHABARI imeconfirm ile picha iliyomuonyesha Diamond Platnumz akiwa kipara kuwa ni uzushi wa photoshop.

Kulingana na picha alizoziachilia kutoka Texas usiku ya jana imemuonyesha Diamond akiwa na shungi lake lile lile plus suti iliotengenezwa na @Sheriangowi.

Siku ya jana Diamond aliweza kupata tuzo la Best male artist in East Africa huko Lady Jida akipokea tuzo la msanii bora mwanamke Afrika Mashariki. Cheki list nzima

Cheki picha zenyewe.


Ile Picha Ya Diamond Platnumz Akiwa Kipara Ni Uzushi Wa Photoshop Ile Picha Ya Diamond Platnumz Akiwa Kipara Ni Uzushi Wa Photoshop Reviewed by Admin on Sunday, July 27, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.