Unordered List

Definition List

Vera Sidika Aachilia Android App Kwa AppStore

Vera Sidika ameingia katika limelight nyingine kwa kuintroduce application yake nyingine kwa Playstore.

Video vixen huyu ambaye amesababisha video kadhaa kupigwa marufuku nchini Kenya kwa sababu ya makalio yake makubwa ameweza kuachia android app hii yake mpya ambayo ni spesheli ya kuonyesha umbo lake.

Cheki picha ya app yenyewe kutoka android appstore.


Zaidi ya hapo app hii mpya yaitwa Vera Sidika na unaweza kuingia appstore muda huu kuitafuta. Imewekwa katika kategoria ya burudani


Vera Sidika Aachilia Android App Kwa AppStore Vera Sidika Aachilia Android App Kwa AppStore Reviewed by Admin on Thursday, July 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.