Unordered List

Definition List

Staa Wa Sugua Gaga Shaa Kufanya Kazi Na Coke Studio Africa

Mwaka huu Coke Studio Africa imeamua kuchukua wasanii wengi zaidi nchini kushiriki kwenye kipindi hicho.

Baada ya Vanessa Mdee kuungana na msanii wa Nigeria, Burna Boy na Joh Makini kurekodi na Chidinma wa Nigeria, sasa ni zamu ya Shaa ambaye yupo Nairobi, Kenya kurekodi kwenye kipindi hicho na msanii wa Uganda, Jackie Chandiru.

Kupitia mtandao wake wa Twitter Shaa aliandika “Ndani ya #CokeStudioAfrica wiki hii Malkia wa Uswazi nikiwa na @JackieChandiru #WanawakeOyeeee hahahah,”
Staa Wa Sugua Gaga Shaa Kufanya Kazi Na Coke Studio Africa Staa Wa Sugua Gaga Shaa Kufanya Kazi Na Coke Studio Africa Reviewed by Admin on Tuesday, July 29, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.