Unordered List

Definition List

Rais Obama Apata Pigo Jingine Baada Ya Kudharauliwa Katika Gazeti

Wiki iliyopita rais wa Marekani Barrack Obama alitangazwa na mchekeshaji mkongwe kuwa Obama ni shoga pamoja na mkewe.

Hii wiki katika gazeti la The West View News, Obama kama rais amepata kudharauliwa na gazeti hilo kwa kuandika headline: "The Nigger in the White House"

Neno hilo kisasa linaonekana kama neno la ubaguzi wa rangi na nchini Marekani halifai kutumika huvi hivi bali hutajwa kama N Word.

Kulingana na baadhi ya wadadisi wamedai kuwa kutumia neno hilo kwa rais halifai kamwe hata kama hutumiwa na watu fulani.

Baadaye katika gazeti lilo hilo mchapishaji flani alifunguka kuwa neno hilo halingepaswa kutumika na linajeuza maana halisi ya ujumbe wa gazeti hilo.
Rais Obama Apata Pigo Jingine Baada Ya Kudharauliwa Katika Gazeti Rais Obama Apata Pigo Jingine Baada Ya Kudharauliwa Katika Gazeti Reviewed by Admin on Monday, July 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.