Unordered List

Definition List

"Rais Obama Ni Shoga, Michelle Obama Ni Jike-Dume" -Joan Rivers

JOAN RIVERS
Joan Rivers mwenye umri wa miaka 81 kwa mara nyingine amefanya mizaha hii wiki iliopita kwa kumuinjoi first lady wa Marekani baada ya kutoka katika harusi ya wanandoa wenye jinsia tata.

Mwanahabari mmoja alimuandama Joan Rivers na kumuuliza kama ni lini kutakuwa na raisi wa kwanza Marekani mwenye jinsia tata (shoga) na alijibu kuwa hakuna haja kwani tayari Marekani ina mmoja ambaye anatawala (Obama), so haina haja ya kubabaika...aliendelea kuongezea kuwa Michelle Obama ni jike-dume (transgender).

Hakuna official reports zozote kutoka ikulu ya Marekani inayoongea kuhusu tukio hilo.
"Rais Obama Ni Shoga, Michelle Obama Ni Jike-Dume" -Joan Rivers "Rais Obama Ni Shoga, Michelle Obama Ni Jike-Dume" -Joan Rivers Reviewed by Admin on Sunday, July 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.