Unordered List

Definition List

Rihanna Nusu Uchi Akimshikilia Mpwa Wake

Tusimamishe kama ushawahi kusikia awali kuwa: Rihanna amepiga picha akiwa nusu uchi.

Ok! najua hii haitakuwa mara yako ya kwanza kwani najua ushawahi kusikia hii stori HAPA, na HAPA na HAPA?

Na hii umeshaisikia: Rihanna akiwa nusu uchi akimshikilia mpwa wake!?

Katika hii picha Rihanna alipiga picha hii na kuirusha Instagram akiwa hajavalia kitu akimbeba mpwa wake. Kizungu yaitwa skin to skin bond (nzuri kwa kumkumbatia mtoto mdogo)

Rihanna Nusu Uchi Akimshikilia Mpwa Wake Rihanna Nusu Uchi Akimshikilia Mpwa Wake Reviewed by Admin on Sunday, July 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.