Unordered List

Definition List

Diamond Platnumz Ndiye Msanii Bora Afrika Mashariki Kwa Tuzo La AFRIMA


Wanaziita African Muzik Magazine Awards ambapo za mwaka huu 2014 zimetolewa huko Eisemann center Texas Marekani na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo Diamond wa Tanzania ambae pia alikua mmoja wa wanaowania tuzo.

Good news kwa mujibu wa meneja Babu Tale ni kwamba Diamond ameshinda tuzo mbili moja ya Msanii bora wa Afrika Mashariki na nyingine ni wimbo bora wa kushirikiana ambao ni ‘number one rmx’ alioufanya na Davido wa Nigeria.

Cheki full list ya washindi AFRIMMA
Diamond Platnumz Ndiye Msanii Bora Afrika Mashariki Kwa Tuzo La AFRIMA Diamond Platnumz Ndiye Msanii Bora Afrika Mashariki Kwa Tuzo La AFRIMA Reviewed by Admin on Sunday, July 27, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.