Unordered List

Definition List

Gharama Ya Gari Diamond Platnumz Aliyotumia Kimnunula Mamake

Habari zinazo-make headlines hivi sasa kila kona ya media hapa town ni tukio la mkali wa AfroPop Diamond Platnumz kumzawadia mama yake zawadi ya gari aina ya Toyota Lexus, huku mama yake akiwa anatimiza miaka 55 ya kuzaliwa kwake.

Diamond Platnumz inasemekana ilimtoka kitita cha shilingi milioni 38 (Tsh. 38,100,000/-) kuweza kununua usafiri huo kama zawadi kwa mama yake mzazi, ambapo mil.35 imetumika kulinunulia gari hilo mpaka kuingia Tanzania na Milion 3.1 imetumika kulipamba na kuweka Music System pamoja na seat Cover.

Diamond Platnumz kwa bahati mbaya hakuwa katika eneo la tukio kutokana na kuwa safarinihuko marekani, ila mama yake alionekana kufrahi sana hadi kutokwa na machozi kwa surprize hiyo, jambo lililomfanya Diamond mwenyewe kufunguka na kusema kuwa chozi lilimtoka alipomuona mama yake akiwa analiakwa furaha namna hiyo.

Siku hiyo hiyo iliambatana na suprize kwa fans wake kwa kudondosha pia video zake mpya mbili.
Gharama Ya Gari Diamond Platnumz Aliyotumia Kimnunula Mamake Gharama Ya Gari Diamond Platnumz Aliyotumia Kimnunula Mamake Reviewed by Unknown on Thursday, July 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.