Unordered List

Definition List

Shilole: Tutabanana Hapa Hapa Na Nuh Mziwanda, Acha Wabishi Waongee


MWANADADA anayefanya vizuri kunako gemu la muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametetea maisha yake ya kimapenzi na Nuh Mziwanda, akisema madai kwamba ni kijana mdogo kumliko yeye, siyo kweli kwani wanalingana kiumri.

“Mimi na Mziwanda wangu tunalingana kiumri lakini nawashangaa sana wanaonisemakila siku eti ninatembea na Serengeti boy, jamani mpenzi wangu siyo mdogo kwangu, tunalingana umri, ninampenda na yeye ananipenda, hatujali maneno ya watu,”alisema Shilole.


Katika kuonyesha mapenzi yake kwa mwanadada huyo ambaye pia ni muigizaji wa filamu, Mziwanda amejichora tattoo yenye jina la msanii huyo, ambalo haliwezi kufutika.
Shilole: Tutabanana Hapa Hapa Na Nuh Mziwanda, Acha Wabishi Waongee Shilole: Tutabanana Hapa Hapa Na Nuh Mziwanda, Acha Wabishi Waongee Reviewed by Unknown on Wednesday, July 16, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.