Unordered List

Definition List

Picha: Mamake Mwigizaji Rambo, Anamiaka 92 Lakini Bado Kijana

Mamake mwigizaji wa Hollywood Sylvester Stallone anayejulikana kwa jina Jackie Stallone ni mama mzee mwenye umri wa miaka 92 lakini bado ni mtu mwenye nguvu na anaijulia sana mitindo ya kuvalia nguo.

Jackie ambaye anafanya kazi ya kutabiria nyota za watu alionekana akitembea kando na kilabu cha densi Santa Monica akiwa amevalia blause ya rangi ya kupakwa vifungo ya waridi, jeans ya rangi nyeusi na viatu vya spoti vyenye mchanganyiko wa rangi ya hudhurungi na nyeupe.






Tukio hili alinaswa na mapaparazzi siku ya Jumatano.
Picha: Mamake Mwigizaji Rambo, Anamiaka 92 Lakini Bado Kijana Picha: Mamake Mwigizaji Rambo, Anamiaka 92 Lakini Bado Kijana Reviewed by Unknown on Friday, July 11, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.