Unordered List

Definition List

Amanda Wa Bongo Movies Atoa Sababu Kwa Nini Hajazaa Hadi Wa Sasa

STAA wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa mpaka sasa hajazaa kwa sababu bado alikuwa hajamuona mwanaume wa kuwa baba watoto wake.

Akichonga na gazeti hili, Amanda alisema katika maisha yake anapenda sana mtoto lakini bado hajatokea mwanaume sahihi wa kuzaa naye ila anashukuru kwa sasa amempata.

“Miaka yote sijazaa kwa sababu nilikuwa sijamuona mwanaume sahihi wa kuzaa naye, lakini kwa sasa nimemuona japokuwa siwezi kumtaja kwa sababu badonaye nipo katika hatua za mwisho za kumpitisha kama anafaa,” alisema Amanda.
Amanda Wa Bongo Movies Atoa Sababu Kwa Nini Hajazaa Hadi Wa Sasa Amanda Wa Bongo Movies Atoa Sababu Kwa Nini Hajazaa Hadi Wa Sasa Reviewed by Unknown on Thursday, July 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.