Hit maker wa Muziki Gani, Nay wa Mitego amefunguka kwa kudai kuwa amepandisha gharama za show zake mpaka milioni 5 kwa show za nje ya Dar Es Salaam.

Akizungumza na bongo5 leo, Nay , amesema imembidi apandishe gharama za show zake kutokana na kupanda kwa gharama za kuandaa muziki wake. “Sasa hivi nafanya show kwa milioni 5 kwa show za nje ya Dar, yani hiyo ni rasmi kabisa chini ya hapo sifanyi , ndani ya Dar ni milioni 4, na sasa hivi nipo na management na sasa hivi nina manager ambae anasimamia kazi zangu” Alisema Nay Wa Mitego.

Ney Wa Mitego: Sifanyi Shoo Chini Ya Milioni 5
Reviewed by Admin
on
Tuesday, July 15, 2014
Rating:

No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano