Unordered List

Definition List

Lady Gaga Aonyesha Ch%&hu Zake Kwa Bahati Mbaya Instagram Kabla Kudetele Picha

Lady Gaga katika mtandao wa Instagram na Facebook aliweza kurusha uncensored photo ambayo ilionyesha ch%&hu yake moja kwa bahati mbaya.

Cheki picha ambayo imekuwa censored


Tukio hili lilitilokea siku ya jana (18 july) ambapo baadaye picha hio ilitolewa fasta.

Haijajulikana kama staa huyu wa nyimbo 'Do What You Want' alifanya hivyo maksudi ama ni kampeni yake ya #FreeTheNipple.

Facebook waliweza kujeuza masharti yao hivi karibuni kwa kuruhusu wanawake kuonyesha matiti yao wakinyonyesha baada ya kampeni ya kuwaruhusu wanawake kuonyesha ch%&hu zao kwa mtandao kuchacha.
Lady Gaga Aonyesha Ch%&hu Zake Kwa Bahati Mbaya Instagram Kabla Kudetele Picha Lady Gaga Aonyesha Ch%&hu Zake Kwa Bahati Mbaya Instagram Kabla Kudetele Picha Reviewed by Admin on Saturday, July 19, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.