Unordered List

Definition List

Baby Madaha Asafiri Kwao Kufanyiwa Matambiko

MAKUBWA! Staa wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha anadaiwa kwenda kijijini kwao kutambika baada ya kuona mambo yake yanamwendea kombo.

Akizungumza na mwanahabari wetu, rafiki wa karibu wa Baby Madaha ambaye hakupenda kuanikwa,alisema kutokana na staa huyo kuona mambo hayaendi vizuri hasa kwenye muziki, ameamua kwenda nyumbani kwao Mwanza kwa ajili ya kutambikia mizimu ya kwao.Baby Madaha.

Alipotafutwa Baby kuhusiana na ishu hiyo, alifunguka:“Ni kweli niko nyumbani kwetu Mwanza, ni muda mrefu sijaja kumuona mama, kuhusu kutambika hilo ni lazima kwani nikiona mambo hayaendi vizuri, lazima niikumbuke mizimu ya kwetu,” alisema Baby.
Baby Madaha Asafiri Kwao Kufanyiwa Matambiko Baby Madaha Asafiri Kwao Kufanyiwa Matambiko Reviewed by Admin on Tuesday, July 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.