Unordered List

Definition List

Soulja Boy Ajishasha Na Pesa Bandia Twitter Kabla Kuidelete Post Fasta

Msanii wa mtindo wa nyimbo za crank Soulja Boy alipata kuaibika katika mtandao wa Twitter baada ya kurusha picha ikimuonyesha akishikilia madolari feki.

Katika picha hio Soulja Boy aliweka ishara ya dola $ lakini mfuasi wake aliyekuwa makini aligundua ni pesa bandia na kudai kama ni yeye pekeyake ambaye anaona pesa bandia

Fasta Soulja Boy alipogundua mchezo wake umejulikana akaidelete post....owk lakini kama kawa ukirusha kitu kwa mtandao si siri tena, picha hii ilisambaa kama upepo.
Soulja Boy Ajishasha Na Pesa Bandia Twitter Kabla Kuidelete Post Fasta Soulja Boy Ajishasha Na Pesa Bandia Twitter Kabla Kuidelete Post Fasta Reviewed by Unknown on Wednesday, July 23, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.