Unordered List

Definition List

Leonardo DiCaprio Na Mwili Ulionenepa, Ajeuka Kicheko Kwa Mtandao

Mwanzoni mwa mwezi huu staa wa filamu iliohit sana kwa cinema Titanic Leonardo Di Caprio aliweza kuisherehekea kombe la dunia kimtindo kwa kusafiri ndani ya jahazi inayoaminika kumilikiwa na mmiliki wa Manchester United hadi Rio...na hivi sasa amejeuka gumzo kwa mtandao kwa kuwa na tumbo kubwa aka kuongezeka mwili

Staa huyu muda huu ametoholewa jina lake kwa mtandao na anajulikana kama Leolardo DiFlabrio.

Itabidi amuandame Kim Kardashian ampe manual ya kuweka mwili wake shape (Leo mwezi jana aliwakwepa Kardashians na kudai hapendi kuhusishwa na hio familia)
Leonardo DiCaprio Na Mwili Ulionenepa, Ajeuka Kicheko Kwa Mtandao Leonardo DiCaprio Na Mwili  Ulionenepa, Ajeuka Kicheko Kwa Mtandao Reviewed by Admin on Tuesday, July 22, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.