Unordered List

Definition List

Vera Sidika Anaswa Live Akidanganya

Anajulikana kama video vixen nchini Kenya na ameendelea kuwa maarufu zaidi hata kumliko Huddah Monroe.

Umaarufu wake umechangiwa zaidi na makalio yake ya kuvutia (lakini kwa Agness Masogange hatoshi) na pia mwonekano wake mpya wa kujichubua.

Ok, tukirudi kwa mada ni kuwa mafans wa Vera katika Instagram wamemnasa Vera akidanganya live kwa post zake.

Kama kawaida Vera Sidika aliweka picha hii na kuambatanisha watu aliokuwa nao

Lakini wadaku waliokuwa wakifuatilia post za mdada huyu waligundua kuwa Vera ameiba picha ya kibiriti-ngoma wa danguro flani kutoka Marekani na kuifanya kuwa ni yake.

Picha yenyewe original Vera aliyoiiba kutoka facebook akaunti ya mmarekani huyo


Haijabainika ni kwa nini Vera Sidika akiamua kuiiba hio picha lakini wadadisi wanadai kuwa labda Vera alitaka kujiinyesha maisha yake ya gharama aliyonayo nchini Nigeria ikizingatiwa kuwa jamaa lake ni mwanabishara anayemiliki hisa za kisima cha mafuta.

Cheki picha zenyewe uone mfanano

Hawaaminiki tena hawa madada
Vera Sidika Anaswa Live Akidanganya Vera Sidika Anaswa Live Akidanganya Reviewed by Admin on Tuesday, July 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.