Unordered List

Definition List

Huddah Monroe Ndani Ya Bikini

The Queen Is Back! Huddah Monroe Flaunts Banging Bikini Body (Photos) 
Baada ya kumulika picha 7 za bikini za Corazon Kwamboka, sasa Huddah Monroe ameingia kwa mwangaza kwa kuachilia picha zake za bikini.

Huddah Monroe ambaye mwaka jana alikuwa katika BBA, amekuwa akipondwa kwa muda mrefu kwa kuwa amekuwa inactive kwa social media.

Katika picha zake latest, Huddah ameamua kurusha picha zake mpya kuonyesha umbo lake la kuvutia.

Cheki picha zenyewe:

huddah_bikini.jpg

huddah_bikini_2.jpg

huddahy_bikini_3.jpg
Huddah Monroe Ndani Ya Bikini Huddah Monroe Ndani Ya Bikini Reviewed by Admin on Tuesday, July 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.