Unordered List

Definition List

Msanii Wa Injili Maheeda Ataka Uchangudoa Kuhalalishwa Nigeria

Staa mwenye utata ambaye ashawi kusumbuana na wahubiri nchini Nigeria Caroline Sam aka Maheeda amefunguka kuwa angependelea ukahaba kuhalalishwa nchini Nigeria.

Kabla kujitosa katika kuwa msanii wa nyimbo za Injili, Maheeda alikuwa akifanya kazi ya kujiuza wakati flani maishani mwake.

Kulingana na Maheeda, amedai kuwa ashawahi kuwa katika hio kazi na pia ashawahi kuwa na wanawake wa aina hio. “Yes, I think prostitution should be legalised. I have been there, I have been with these girls ."

Maheeda pia ashawahi kuzuru nchi ya Netherlands ambako tabia hii imehalalishwa na haoni kwa nini Nigeria imelalia maskio.

Picha za uchi za Maheeda ndizo zimemfanya kutambulika zaidi Nigeria
Msanii Wa Injili Maheeda Ataka Uchangudoa Kuhalalishwa Nigeria Msanii Wa Injili Maheeda Ataka Uchangudoa Kuhalalishwa Nigeria Reviewed by Admin on Saturday, July 26, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.