Unordered List

Definition List

Rayuu Apinga Skendo Za Uchawi Na Kushobokea Waume Za Watu


Msanii anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini, Alice Bagenzi 'Rayuu' amesema amekuwa akisikia maneno ya chinichini kwamba ameenda Sumbawanga Kuroga.

Tetesi hizo za Rayuu kwamba ameenda Sumbawanga kuroga zimeanza kuvuma baada ya watu kuhoji kuwa jina lake linaonyesha yeye ni Mhaya, lakini cha kushangaza amekuwa akienda Sumbawanga mara kwa mara.

Mpekuzi iliamua kumtafuta mrembo huyo ambaye amekuwa akiandamwa na kashfa ya kutembea na waume za watu na kusambaza picha za utupu ilikujua ukweli wa mambo ambapo msanii huyo alifunguka kuwa: "Nawashangaa sana watu wanaosema nimekuja Sumbawanga kuroga, sio kweli, huku nimekuja kusalimia.Naipenda familia yangu ndo maana nimeitembelea na ntakaa kwa muda huku kwani huwanai miss sana nikiwa Dar"
Rayuu Apinga Skendo Za Uchawi Na Kushobokea Waume Za Watu Rayuu Apinga Skendo Za Uchawi Na Kushobokea Waume Za Watu Reviewed by Unknown on Sunday, July 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.