Unordered List

Definition List

Diamond Platnumz Amsuta Ali Kiba Kwa Mtandao

Staa anayetamba na nyimbo ya mdogo mdogo Diamond Platnumz ameamua kusitisha kimya chake baada ya kusutwa mara nyingi na 'aliyesifika' Ali Kiba.

Kulingana na Diamond, yeye ajenda yake kuu nikufanikisha kuwa level moja na wasanii wa kimataifa na hana tym na kushindana na wapinzani wa nyumbani.

Kupitia Instagram, Diamond alichefuka kwa kuandika "Tatizo lako wewe unawaza kushindana na mimi ili nishuke... Wakati mwenzako nawaza kushindana na watu waMataifa Mengine ili nilete Sifa na Heshima nchini Kwetu"

Hili tukio linajiri baada ya kwa muda mrefu Ali Kiba akimkejeli Diamond kumwambia kuwa hawezi kujadiliana naye.
Diamond Platnumz Amsuta Ali Kiba Kwa Mtandao Diamond Platnumz Amsuta Ali Kiba Kwa Mtandao Reviewed by Unknown on Monday, July 21, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.