Unordered List

Definition List

Picha Ya Mariah Carey Yaibua Mengi Baada Ya Kufanyiwa Photoshop Na Gazeti La Wonderland

Mtandao wa Jezabel umefichua zaidi kuhusu picha ya Mariah Carey ambayo alipigwa ili kuonekana katika gazeti la Wonderland.

Katika picha originally ambayo ilivujwa na Jezebel, imemuona Mariah Carey akiwa na umbo tofauti kabisa lenye kutamausha hamu ya mtazamaji yeyote, picha ambayo imefanyiwa photoshop imemuumba Maria kuwa na shepu inayoweza kumfanya hata Kim Kardashian kujichukia.

Cheki picha ya .gif ikionyesha Maria Carey kabla na baada ya kufanyiwa photoshop


Katika picha original, Mariah ameonekana kuwa na tumbo kubwa, mapaja yaliyoachiliana, matiti wakionekana kuwa madogo, lakini picha iliyofanyiwa photoshop imekuwa tofauti kabisaa.

Kiufupi ni kuwa picha ambazo hupigwa na mamodel na macelebrity mara nyingi hufanyiwa ubadilisho uliopindukia.
Picha Ya Mariah Carey Yaibua Mengi Baada Ya Kufanyiwa Photoshop Na Gazeti La Wonderland Picha Ya Mariah Carey Yaibua Mengi Baada Ya Kufanyiwa Photoshop Na Gazeti La Wonderland Reviewed by Unknown on Tuesday, July 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.