Unordered List

Definition List

Jokate Kuja Na Sura Mpya Kama Mwanamziki Kwa Kampuni Yake


Baada ya kushirikiana na Lucci kwenye Kaka Dada, mrembo huyu Jokate amedai kuwa mpango uliopo ni yeye kujitambulisha rasmi kama mwanamuziki kupitia kampuni yake.

“Sasa hivi nataka nijiintroduce kama mimi as a music artist,” Jokate alikiambia kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen ya Kenya ambako alienda kikazi. “Kwa hiyo niwe na single zangu mwenyewe ambazo nazifanyia kazi kupitia kampuni yangu mwenyewe, that’s the way forward.”
Jokate Kuja Na Sura Mpya Kama Mwanamziki Kwa Kampuni Yake Jokate Kuja Na Sura Mpya Kama Mwanamziki Kwa Kampuni Yake Reviewed by Admin on Monday, July 28, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.