Unordered List

Definition List

Vera Sidika Apiga Picha Ya Nusu Utupu Kutuhakikishia Makalio Yake Si Feki

Wakati fulani katika bkuHABARi tuliweza kuifichua siri ya Vera Sidika kuwa anavalia makalio mchina, lakini baada ya kupata hii picha yake latest ikionyesha uwazi shepu yake ya makalio, sasa ameingia katika msururu wa wanawake kupiga picha za uchi kuonyesha makalio yao.

Katika picha hii latest yake iliyopewa jina 7/7, Vera Sidika ameonyesha shepu ya makalio yake.



Sasa madada kama vile Corazon Kwamboka wataanza kupiga mbinu mpya ya kumchalenji staa huyu ambaye kwa sasa wakenya wanampigia kipato kushiriki katika Big Brother Africa mwaka huu.
Vera Sidika Apiga Picha Ya Nusu Utupu Kutuhakikishia Makalio Yake Si Feki Vera Sidika Apiga Picha Ya Nusu Utupu Kutuhakikishia Makalio Yake Si Feki Reviewed by BkuHabari Admin on Tuesday, July 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.