Unordered List

Definition List

Kenya Wamtaka Vera Sidika Kuingia Masindano Ya BBA

Reality show kubwa zaidi Afrika iko karibuni na wakenya wameanza kutoa mawazo nani anayeonekana bora kwa mashindano hayo.

Mwaka jana Kenya iliwakilishwa na Huddah Monroe na Annabel Mbaru ambayo perfomance yao ilikuwa ovyo.

Katika Twitter, mtangazaji wa redio maarufu Nairobi alimshawishi Vera Sidika kuwa position ya Big Brother Afrika inamfaa zaidi.

Twitter zenyewe hizi hapa:

@vee_beiby hey you. Will you be willing to audition for BBA this year?— Caroline Mutoko (@CarolineMutoko) July 1, 2014

Hmmm…thinking “@CarolineMutoko: @vee_beiby hey you. Will you be willing to audition for BBA this year?”— instagram;@vee_beiby (@vee_beiby) July 1, 2014

@vee_beiby thinking? Chick…what’s to think about?— Caroline Mutoko (@CarolineMutoko) July 1, 2014
Kenya Wamtaka Vera Sidika Kuingia Masindano Ya BBA Kenya Wamtaka Vera Sidika Kuingia Masindano Ya BBA Reviewed by Admin on Thursday, July 03, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.