Unordered List

Definition List

Kwa Nini Tunampenda Agness Masogange!!

Kando na kujulikana kuwa video queen, Agness Masogange anatambulika na mambo mengine ambayo yanamfanya kuwa unique.

Mitindo yake ya kunengua makalio yake hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kudai anamshinda, na kama wee mbishi baada ya kuiona hot video ya Agness Masogange akitingisha makalio akitembea utakuwa na fikra tofauti.

Kuna mambo ambayo tunayapenda kutoka kwa Masogange (tukiondoa skendo zake) na yenyewe ndio haya:

Jinsi anavyopiga pozi zake. Masogange pozi zake hatuwezi kusema zashinda za kila mtu lakini saiz yake ziko ajab


Anavyoupodoa uso wake huwafanya wengi kuzama katika ndoto zisizokuwa na meisho


Kuna yeyote ashawahi kusema kuwa Masogange amebarikiwa na kifua?


Nyingine ni kuwa Masogange anapendwa zaidi kwa kuwa na shepu ya kuvutia, na haoni haya kuonyesha shepu yake inayopendwa na wengi


Na la mwisho kabisa ni kuwa makalio ya Masogange ndio yamemfanya kuwa maarufu zaidi.

Sijui kama neno 'makalio' alilivumbua yeye ama ndio vipi
Kwa Nini Tunampenda Agness Masogange!! Kwa Nini Tunampenda Agness Masogange!! Reviewed by Admin on Thursday, July 03, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.