Unordered List

Definition List

Peter Okoye Apiga Selfie Kuonyesha Gari Lake Aina Ya Jeep

Staa wa P Square Peter Okoye katika akaunti yake ya Instagram ameweza kuachilia picha wazimu akilonyesha gari lake jipya aina ya Wrangler Jeep 2014.

Baada ya kuangusha picha hio staa huyu anayevuma na nyimbo Testimony aliambatanisha na maneno:
“baddest selfie of all time”

http://photos-c.ak.instagram.com/hphotos-ak-xpf1/10474969_258472244345858_45379039_n.jpg
Peter Okoye Apiga Selfie Kuonyesha Gari Lake Aina Ya Jeep Peter Okoye Apiga Selfie Kuonyesha Gari Lake Aina Ya Jeep Reviewed by Admin on Thursday, July 03, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.