MTANGAZAJI ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’ hivi karibuni alivishwa upya pete ya uchumba na ya ndoa baada ya zile za awali kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
Aliyemfanyia tukio hilo ni mumewe aitwaye Shaa na baada ya vidole vyake kupendeza tena alitupia picha akiwarusha roho mashoga zake na alipoulizwa na paparazzi wetu juu ya pete hizo alisema, mumewake ndiye aliyeamua kumvisha baada yakuona ni heshima kwa mke wa mtu.
“Nimejisikia furaha sana kwani ilikuwa ikininyima raha kuona pete za mume wangu hazipo tena kidoleni, sasa nina amani tele,” alisema Mai

MAIMATHA JESE AVISHWA PETE YA UCHUMBA, NDOA UPYA
Reviewed by Admin
on
Friday, July 04, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano