Unordered List

Definition List

Huddah Monroe Afungua Hisia Zake Kwa Ali Kiba

Staa wa bongo fleva Alikiba amerudi na full force kwa chats baada ya nyimbo zake mbili Kimasomaso na Mwana kuchukua nambari moja na mbili katika top 100 most downloaded songs ya mtandao wa mkito.com.

Well umaarufu huu wa ghafla lazima uvutie baadhi ya madada zetu na kwa uharaka staa wa BBA Huddah Monroe jicho lake lilim'mwilika Ali Kiba.

Bila kuficha hisia zake Huddah aliingia Instagram fasta na kuonyesha upendo wake kwa staa huyu anayeaminika kuwa na sauti bora zaidi Afrika Mashariki. 'Whaaaaattttttt i was wondering where @officialalikiba had gone to! Sauti ya kumtoa nyoka pangoni' aliandika katika Instagram.


Alikiba siku ya 25/7 alizindua vibao viwili; Mwana na Kimasomaso, ambazo hadi sasa zinaleta hisia tofautitofauti kwa mashabiki wa nyimbo za bongo fleva.

Kwa kusistiza kuwa amemmiss Alikiba kwa gemu, huddah alitoa hisia zake kwa kumsifu 'Still my favourite artist in Tanzania, the real defination of Bongo Fleva!'

Watu kwa mtandao wanazidi kugawanyika kuhusu ujio wa Alikiba kuwa ni wa zamani, wengine wameanza kumfananisha na Mr. Nice na wengine....kama Huddah wanaimani kuwa he's the king.
Huddah Monroe Afungua Hisia Zake Kwa Ali Kiba Huddah Monroe Afungua Hisia Zake Kwa Ali Kiba Reviewed by Admin on Monday, July 28, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.