Unordered List

Definition List

Mr. Tanzania Azimia Na Penzi La Jackline Wolper


Modo wa Tanzania anayejulikana kwa jina la Calisah ambaye amewahi kushiriki Mr.Tanzania 2013-2014 ameandika picha za kimahaba katika picha za msanii maarufu wa filamu, Jackline Wolper ‘Gambe’…

Kuonyesha kuwa amezama kimapenzi na Wolper, Caliser aliingia Instagram aliandika “Umenifanya nisitamani mwanamke yeyote katika dunia hii."

Hii ni dalili kuwa jamaa amemkufia sana Wolper. Na kuonyesha msistizo wake kwa jambo hilo, Caliser aliongezea kwa kuandika haya maneno "Nakupenda sana Wolper Gambe wangu coz i get everything from you. I love you kamdoli kangu, kichuna changu,”
Mr. Tanzania Azimia Na Penzi La Jackline Wolper Mr. Tanzania Azimia Na Penzi La Jackline Wolper Reviewed by Admin on Monday, July 21, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.