Unordered List

Definition List

Alichokisema Kajala Masanja Kuhusu Uhusiano Wa Kimapenzi Na Mtangazaji Perfect Wa Clouds


Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ ameibuka na kukanusha vikali madai ya kutoka kimalovee na mtangazaji wa Clouds aitwaye Perfect.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita jijini Dar, Kajala alifunguka kwamba madai hayo hayana ukweli wowote na wala hana ukaribu na mtangazaji huyo.


“Sina relation (uhusiano) kama huo na Perfect zaidi ya kazi tu,” alisema Kajala huku Perfect akiwa hapatikani hewani kila alipotafutwa.
Alichokisema Kajala Masanja Kuhusu Uhusiano Wa Kimapenzi Na Mtangazaji Perfect Wa Clouds Alichokisema Kajala Masanja Kuhusu Uhusiano Wa Kimapenzi Na Mtangazaji Perfect Wa Clouds Reviewed by Unknown on Monday, July 21, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.