Unordered List

Definition List

ChaggaBarbie Atupa Video Akitetemesha Makalio...Ametisha!!!

Siku hizi mchezo wa kuwa maarufu ni kujiuza.

Katika ujio mpya wa Chaggabarbie, mdada anayeaminika kuwa na uhusiano wa kimapenzi na CMB Prezzo nchini Kenya, amerusha video katika mtandao wa Youtube ukimwonenyesha akitetemesha makalio yake kwa mshindo mkuu, hata Masogange akaonyesha mtindo wake wa kuyatingisha makalio yake hapa hapatoshi.

Cheki video yenyewe ambayo itakuacha kinwa wazi:
ChaggaBarbie Atupa Video Akitetemesha Makalio...Ametisha!!! ChaggaBarbie Atupa Video Akitetemesha Makalio...Ametisha!!! Reviewed by BkuHabari Admin on Wednesday, July 23, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.