Unordered List

Definition List

DIAMOND PLATNUMZ AHUDHURIA RED CARPET YA UZINDUZI WA FILAMU YA THINK LIKE A MAN

Msanii Diamond Platnumz akihojiwa wakati wa uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MENjana.
Msanii Diamond Platnumz pamoja na wageni alioambatana nao akiwemo Mkurugenzi wa Ufundi na Uzalishaji wa
Clouds Media Group, Ruge Mutahaba wakati wakiwasili katika uzinduzi huo.
Terrence akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu ambayo naye ameshiriki kuanza.
Diamond akisalimiana na baadhi ya mashabiki baada ya uzinduzi.
Mtangazaji wa Television kubwa duniani ya E, Terrence J yupo nchini Tanzania, ambapo pamoja na mambo mengine, jana 'alihost' uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MEN ambayo na yeye ni mmoja wa nyota walioigiza humo.
DIAMOND PLATNUMZ AHUDHURIA RED CARPET YA UZINDUZI WA FILAMU YA THINK LIKE A MAN  DIAMOND PLATNUMZ AHUDHURIA RED CARPET YA UZINDUZI WA FILAMU YA THINK LIKE A MAN Reviewed by Admin on Monday, July 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.