Unordered List

Definition List

Aunt Ezekiel Atamani Kuwa Mama

Mkali wa sinema za Kibongo, Aunty Ezekiel amesema anatamani iwe leo au kesho apate mtoto kwani umri wake unaruhusu.


Akipiga stori mbili-tatu na paparazi wetu, Aunty alisema kuwa anatamani kuwa mama si kwa kufuata mkumbo bali anataka kuwa mama kwani sasa ni muda muafaka kwake.

“Natamani kwelikweli na mimi siku moja niwe mama wa mtoto sema tu sijabahatika kupata ila naendelea kumuomba Mungu ili ndoto zangu ziweze kutimia,” alisema Aunty Ezekiel.
Aunt Ezekiel Atamani Kuwa Mama Aunt Ezekiel Atamani Kuwa Mama Reviewed by Unknown on Sunday, July 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.