Unordered List

Definition List

Aunt Ezekiel Awapa Vijembe Mashoga Wote, Inastaabisha


Kabla kusafiri hadi Dubai kwa shughli za 'kujenga nchi', Staa wa bongo movies Aunt Ezekiel amewapa makavu wanaume wenye tabia za kike haswa mashoga wote.

Akifunguka na paparazi, Aunt amedai kuwa anakerwa sana na wanaume wenye hulka za kike (mashoga).

Aunt alisema mashoga wanamstaajabisha kwa jinsi wanavyojiweka na kujishaua katika jamii kitu ambacho anaamini ni tabia mbaya ambayo mtu anaweza kuiacha mara moja.

“Mashoga hunistaajabisha sana kwa kweli, kila niwaonapo sijui najisikiaje? Nawashangaa kweli, kwa nini wasibadilike,” alisema Aunt.

Aunt anasafari ya kwenda hadi Dubai kuungana na bwanake ambaye Aunt anapinga kuwa ni mahabusu huko.
Aunt Ezekiel Awapa Vijembe Mashoga Wote, Inastaabisha Aunt Ezekiel Awapa Vijembe Mashoga Wote, Inastaabisha Reviewed by Admin on Monday, July 28, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.