Unordered List

Definition List

Flora Lyimo Azidi Kumuaubisha Le Mutuz "Mwanamume Mzima Ashindana Na Wanawake Kwa Mtandao"


Haya ndio maneno aliyoyaachilia Flora kumkejeli Le Mutuz:

SASA WACHA NIKUFUE NA NIKUANIKE NJE NA 360 NA OLE WAKO USIPOKAUKA,MAANA NITAENDELEA KUKUANIKA MPAKA UTAKAPO KAUKA MBWA WA SOKONI USOJIJUA'' WEWE APO KULIA PICHANI 'LEMUTZ aka LEMUTUMBAZ'
NI HIVI''' Kwa hiyo hapo umeamka na ulikuwa umelala na hilo kama dira vile'' kweli lijizee shoga huwezi kukosa kulijua'' hapa huwezi danganya Wanaume wenye kuamcha mashine zao na kukobolea wanawake bidhaa zao kila siku 'yani uwadanganye wale mashoga wenzako ambao mashine zao zimeshalegea kama hiyo ya kwako ilolegea kama mlenda ulokosa maji''

Yani mwanaume mzima unashindana na wanawake mitandaoni hadi kujipiga picha za uongo eti umeamka hivi na kupiga picha hii kwa hiyo na wao waamke asubuhi kujipiga picha waweke mitandaoni kama wewe ? una ona kweli hilo ni jambo la kuwaelimisha wanawake au wanaume wenzako ? yani badala waamke na kwenda kazini kuwahi dala dala na pia ofisini au sokoni kuuza bidhaa zao wao waje kuuza sura mitandaoni tena sura za kujificha ujinsia wao ? Yani hapa ndiyo umeonyesha jamii wazi how stupid idiot you are na hizo degree zako za uongo ''pumbavu na omba Mungu nimepata huu muda wakukujibu hapa Leo'' maana Instagram inakutosha mpaka utahama huko na hii Dunia kwa ujumla'''wewe shindana na Flora Lyimo the top in town ''alafu tuone'' sasa nasubiria picha zako kama hizi za kwangu ''ukiwa umevaa UNDERPANTS'' YANI UKIWA UMEVAA HIZO CHUPI ZANGU KUBWA ZA KIUME'' MAANA HATA FASHION HUJUI ''ETI HIZI CHUPI NILIZO VAA HAPA NI ZA KIUME''MBUTA NANGA!!
Flora Lyimo Azidi Kumuaubisha Le Mutuz "Mwanamume Mzima Ashindana Na Wanawake Kwa Mtandao" Flora Lyimo Azidi Kumuaubisha Le Mutuz "Mwanamume Mzima Ashindana Na Wanawake Kwa Mtandao" Reviewed by Unknown on Friday, July 11, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.