Unordered List

Definition List

Tuzo za AFRIMMA kufanyika Jumamosi hii (July 26) Marekani,T-Pain, Davido, Diamond, Iyanya kutumbuiza

Tuzo za ‘African Muzik Magazine Awards’ (AFRIMMA) zinatarajiwa kufanyika Jumamosi ya wiki hii (July 26) huko Texas, Marekani.

Wasanii walioko kwenye orodha ya kutumbuiza ni pamoja na Davido, Iyanya, Diamond Platnumz, Khulichana, Flavour, 2Face, T-Pain na wengine.

Nominees wa Tanzania katika tuzo hizo ni pamoja na Diamond Platnumz ambaye anawania vipengele 5, Ben Pol, Lady Jaydee, Mrisho Mpoto na producer Sheddy Clever wote wanawania kipengele kimoja kila mmoja.
Tuzo za AFRIMMA kufanyika Jumamosi hii (July 26) Marekani,T-Pain, Davido, Diamond, Iyanya kutumbuiza Tuzo za AFRIMMA kufanyika Jumamosi hii (July 26) Marekani,T-Pain, Davido, Diamond, Iyanya kutumbuiza Reviewed by Admin on Tuesday, July 22, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.