Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Kufaidi Kutokana Na Video Game Yake. APATA MILIONI $85

Ulikuwa ukidhania kuwa video ya ngono ya Kim Kardashian imeweza kumfanya Kim kuwa miongoni mwa mastaa tajiri zaidi Hollywood?

Ok. Hope uko tayari kupata hii latest news za Kim:

Mwandani wa Kim aliiambia TMZ kuwa staa huyu ambaye hatumii talanta na ambaye ana rank ya A-List atapokea milioni $85 dolari kutokana na iPhone video game yake ya Kim Kardashian: Hollywood.

Yeah! Hizo ni milioni $85 takriban trilioni 136 za kibongo kama sijakosea. Hii ni kumaanisha hata ukikusanya biashara zote za Kim Kardashian anazofanya hazitafikia kiwango hicho.

Game yenyewe inapaniwa kuweka faida ya milioni $200 mwaka huu pekee. Kutengeza game yenyewe haikuzidisha milioni $10 na Kim Kardashian atapata hisa ya asilimia 45%.

Kushangaza ni kuwa Kim atapata milioni $85 hata BILA KUTOA JASHO LOLOTE.

Kando na kurusha Tweets na kuandika katika Facebook, Kim hakuwa na cha ziada kujihusisha na mpango mzima.

Kulingana na Forbes, Kim Kardashian mwaka wa 2013 aliweza kutengeneza kiasi cha pesa cha $28 milioni. Ok kile ambacho kitamuathiri Kim mwaka huu?

Ni kuilipa serikali ya Marekani kupitia ushuru na pia kumalizana na Kris Humphry kuhusu swala la talaka.

Tisha!!!"
Kim Kardashian Kufaidi Kutokana Na Video Game Yake. APATA MILIONI $85 Kim Kardashian Kufaidi Kutokana Na Video Game Yake. APATA MILIONI $85 Reviewed by Admin on Tuesday, July 22, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.