Unordered List

Definition List

Ali Kiba Aachilia Nyimbo Mbili Siku Ya Leo. DOWNLOA HAPA



UPDATE: Serva za mkito.com zimecrash so waweza kudownload nyimbo zenyewe kupitia hulk share;

Mwana: DOWNLOAD DIRECT LINK
Kimasomaso: DOWNLOAD DIRECT LINK

Baada ya wapenzi wa muziki Tanzania kusubiri kwa muda mrefu sasa wamepata nafasi ya kujiburudisha na ngoma mpya kutoka kwa Alikiba. Tarehe 25 Julai, 2014 Alikiba ameachia single mbili mpya kwa wakati mmoja ziitwazo “Mwana” na “Kimasomaso”.

Alikiba anajulikana ndani na nje ya Tanzania kwa hit zake kama Cinderella, Mapenzi yanarun dunia, Single boy, na Dushelele. Cinderela ndiyo wimbo ambao mpaka sasa umeweka rekodi ya kuuza copy nyingi katika Afrika Mashariki mwaka 2008.

Mwaka 2012 Alikiba alishinda tuzo ya best Rhumba/ Zouk na wimbo wake wa “Dushelele” katika tuzoza Kilimanjaro Tanzania Music Awards.
Alikiba anajulikana kwauwezo wake mkubwa wa kuimba na utunzi wa nyimbo pamoja na kuwa mburudishaji mkali sana katika show zake za live na mpaka sasa ametembea nchi nyingi sana duniani kuburudisha wapenzi wa muziki.

Sasa unaweza kupata nyimbo mbili mpya za Alikiba katika tovuti ya www.mkito.com

Direct links kudownload nyimbo zenyewe hizo hapo chini.
Kimasomaso: DOWNLOAD

Mwana: DOWNLOAD
Ali Kiba Aachilia Nyimbo Mbili Siku Ya Leo. DOWNLOA HAPA Ali Kiba Aachilia Nyimbo Mbili Siku Ya Leo. DOWNLOA HAPA Reviewed by Admin on Friday, July 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.