Unordered List

Definition List

Bob Junior Ataka Kutoa Kolabo Na Diamond Ambaye Ndiye Alimpa Kick Ya Umaarufu


Msanii wa muziki na producer, Bob Junior amesema kuna uwezekano mkubwa wa kufanya kolabo na msanii aliyemtoa, Diamonnd Platnumz.

Akizungumza na Bongo5, Bob Junior aliyetayarisha nyimbo za Diamond zikiwemo ‘Kamwambie’ na ‘Mbagala’ amesema kwa kuwa yeye ndiye aliyemtoa akiamua muda wowote wanaweza kufanya naye kazi.

“Kwa sababu nia bado ipo na sisi tupo hai hatuwezi kujua nini kitatokea, siwezi sema natamani ni kijana wangu ambaye nimemtoa mimi nikiamua siku nafanya naye nitafanya naye, haiwezi kuwa na ugumu,” amesema Bob Junior.
Bob Junior Ataka Kutoa Kolabo Na Diamond Ambaye Ndiye Alimpa Kick Ya Umaarufu Bob Junior Ataka Kutoa Kolabo Na Diamond Ambaye Ndiye Alimpa Kick Ya Umaarufu Reviewed by Admin on Saturday, July 19, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.