Unordered List

Definition List

Kim Kardashian-Kanye West Washerehekea Siku 73 Tangu Wafanye Harusi

Siku ya jana Kim na Kanye waliweza kukamilisha siku 73 tangu wafanye harusi yao Mei 24...hii ni siku moja zaidi ya ndoa ya Kris Humphries.

Wakashifu wengi waliapa kuwa ndoa ya Kimye haitadumu na waliiona kuanguka lakini imekuwa ndivyo sivyo. Kimye siku ya jana waliisherehekea wakiwa recording studio wakiwemo Kimye na mtoto wao Nori.

Kupitia Instagram Kim aliweka picha ya familia yake na kuambatanisha maneno: ‘BringYourDaughterToWorkDay’

Kim amewahi kufanya ndoa tatu kabla hii ya Kanye West. Wengi wanaamini kuwa Kanye ndiye amefunga mchezo mzima.
Kim Kardashian-Kanye West Washerehekea Siku 73 Tangu Wafanye Harusi Kim Kardashian-Kanye West Washerehekea Siku 73 Tangu Wafanye Harusi Reviewed by Admin on Tuesday, August 05, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.