Unordered List

Definition List

Kim Kardashian: North West Anampenda Kanye West Kuniliko

Huku Jay Z na Beyonce wakiwa kimya kuhusu kuongea maisha ya mtoto wao Blue Ivy katika vyombo vya habari, Kim Kardashian yuko buzy kuhakikisha kuwa Nori amekuwa maarufu zaidi ulimwenguni. Hivi mwezi jana akiwa na miezi 13 aliweza kuonekana katika ukurasa wa kwanza katika gazeti la fasheni na Kim hayuko tayari kusimama hapo.


North West pia alipewa atenshen na media siku yake ya birthday shukran zote zikimuendea Kim Kardashian.

Lakini jambo la kushangaza ni kuwa katika interview Kim Kardashian anadai kuwa Nori anampenda sana babake kumliko. Kim anadai kuwa neno la kwanza kutamka Nori ni baba akiashiria Kanye West.

"She's been saying daddy and dada for a really long time. Since she was seven months," alijibu katika interview flani, halafu alipoulizwa kama pia anamtaja: "She says mama [too].  She said it the night before Mother's Day, but she doesn't say it much."


Kim Kardashian: North West Anampenda Kanye West Kuniliko Kim Kardashian: North West Anampenda Kanye West Kuniliko Reviewed by BkuHabari Admin on Tuesday, August 19, 2014 Rating: 5

1 comment:

  1. kim kudadek ni muongo eti kasema mama siku moja kabla mothers day? hivyo si nikutudanganya tu

    ReplyDelete

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.