Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Aungana Na Paris Hilton Spain

Ibiza, Spain imekuwa sehemu za kutembelewa na mastaa wengi haswa wale wa A-list.

Wiki iliyopita Justin Bieber alizikwenda mkono na Orlando Bloom kisa na maana ni Miranda Kerr.

Tena ulimwengu mzima ulishangazwa na Justin Bieber kuparty pamoja na Kim Kardashian na Kampany katika birthday party ya designer Riccardo Tisci.

Pia siku ya Ijumaa Kim Kardashian aliweza kuungana na rafiki yake wa zamani ex A-list Paris Hisyon na kurusha picha ya wawili hawa Instagram

"Reminiscing about the 1st time we went to Ibiza in 2006! @parishilton it was so good to see you & catch up!! Loves it lol,"

Si rahisi kuamini kama Kim zamani alikuwa msaidizi wa Paris Hilton ambaye zamani alikuwa level moja kama alivyo Kim sahizi.
Kim Kardashian Aungana Na Paris Hilton Spain Kim Kardashian Aungana Na Paris Hilton Spain Reviewed by Admin on Sunday, August 03, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.