Unordered List

Definition List

Corazon Kwamboka Akutana Na Agness Masogange, Nani Mshindi!??

MAKALIO ya Bongo yamekutana na MAKALIO ya Nairobi!...samahani kwa lugha isio na heshima,,,, Agness Masogange amekutana na Corazon Kwamboka!

Kwa muda mrefu wawili hawa katika mtandao wa kijamii wa Instagram wamekuwa wakionyesha mashabiki wao kuwa wanamiliki himaya ya kuwa na maumbo tata Afrika Mashariki, hii ni kuanzia Corazon kurusha picha za bikini hadi kwa Masogange kurusha picha zinazowaumiza wanaume. Kutoka kwa Masogange kurusha video akitingisha makalio yake kwa namna ambayo itamfanya Aunty Lulu kujidharau hadi kwa video ya Corazon kutingisha kiuno ambayo itamfanya Huddah Monroe kujiona kama hafai....wawili hawa wana mengi wanayoonyesha kwa mafans wao.

Na muda huu wote wawili hawa hawajawahi kuonana uso kwa uso hadi tukio hili waliloamua kukutana nchini Afrika Kusini.

Kupitia Instagram, Agness Masogange aliweza kurusha picha akiwa pamoja na Corazon Kwamboka


Hivi kimtizamo wako waona nani amemshinda mwenzake?
Corazon Kwamboka Akutana Na Agness Masogange, Nani Mshindi!?? Corazon Kwamboka Akutana Na Agness Masogange, Nani Mshindi!?? Reviewed by Admin on Friday, August 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.